Washauri
MRADI wa Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) ni wa kitaifa ambao unaungwa mkono na washirika kadhaa ili kuwasaidia vijana kujifunza jinsi ya kuwa wabunifu. DLIIC hutoa msaada kwa wabunifu ambao hutumia takwimu kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za kimaisha ambazo mara nyingi huwa zinawakabili wasichana na wanawake wenye umri mdogo. Hata hivyo kama ilivyo katika shughuli za biashara, miradi mingi ya wabunifu inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo za kudumu na kuwa endelevu. Ili kuongeza nafasi za mafanikio na kuwa njia za mfano, DLIIC hutoa ushauri kwa wabunifu kutumia mbinu mbadala za nadharia na vitendo. Ushauri ni sehemu muhimu ya jitihada za DLIIC kusaidia vijana na wajasiriamali kuunda tatuzi-zitokanazo na takwimu zinazoendena na matatizo halisi ya watu.
[/cmsmasters_text][/cmsmasters_column][/cmsmasters_row][cmsmasters_row data_shortcode_id=”w0c6x4l1ie” data_padding_bottom_mobile_v=”0″ data_padding_top_mobile_v=”0″ data_padding_bottom_mobile_h=”0″ data_padding_top_mobile_h=”0″ data_padding_bottom_tablet=”0″ data_padding_top_tablet=”0″ data_padding_bottom_laptop=”0″ data_padding_top_laptop=”0″ data_padding_bottom=”50″ data_padding_top=”0″ data_bg_parallax_ratio=”0.5″ data_bg_size=”cover” data_bg_attachment=”scroll” data_bg_repeat=”no-repeat” data_bg_position=”top center” data_color=”default” data_bot_style=”default” data_top_style=”default” data_padding_right=”3″ data_padding_left=”3″ data_width=”boxed”][cmsmasters_column data_width=”1/1″][cmsmasters_profiles shortcode_id=”a7aojybh0q” orderby=”name” order=”ASC” count=”0″ categories=”mentor” layout=”horizontal” columns=”2″ animation_delay=”0″][/cmsmasters_column][/cmsmasters_row]