Mr. Ahmada Lyamaiga amekuwa mfanyakazi wa kitengo cha teknolojia ya habari tangu mwaka 1973. Alihitimu katika chuo kikuu cha Dar...
Washauri
MRADI wa Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) ni wa kitaifa ambao unaungwa mkono na washirika kadhaa ili kuwasaidia vijana kujifunza jinsi ya kuwa wabunifu. DLIIC hutoa msaada kwa wabunifu ambao hutumia takwimu kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za kimaisha ambazo mara nyingi huwa zinawakabili wasichana na wanawake wenye umri mdogo. Hata hivyo kama ilivyo katika shughuli za biashara, miradi mingi ya wabunifu inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo za kudumu na kuwa endelevu. Ili kuongeza nafasi za mafanikio na kuwa njia za mfano, DLIIC hutoa ushauri kwa wabunifu kutumia mbinu mbadala za nadharia na vitendo. Ushauri ni sehemu muhimu ya jitihada za DLIIC kusaidia vijana na wajasiriamali kuunda tatuzi-zitokanazo na takwimu zinazoendena na matatizo halisi ya watu.
Basil Malaki
Bw. Basil Malaki an uzoefu wa zaidi ya nusu muongo na kuendulea katika mazingira makubwa ya teknolojia ya afrka ya...
Christine Mwase
Bi. Christine Mwase ana historia nzuri ya kiufundi. Ana shahada ya umeme na uhandisi wa umeme kutoka chuo cha Bath...
Dk. Afua Mohamed
Dk. Afua Mohamed ana shahada ya uzamifu ya teknolojia katika uhandisi wa umeme kutoka Chuo Kikuu cha Cape Peninsula huko...
Jabhera Matogoro
Bw. Jabhera Matogoro sasa anafanya kazi kama Mhadhiri Msaidizi katika Chuo cha Elimu ya kompyuta na Elimu ya sibaya katika...
Lorraine Kiswaga
Lorraine Kiswaga ana zaidi ya miaka saba ya uzoefu katika afya ya uzazi na haki ya kijinsia, unyanyasaji wa kijinsia...
Mramba Makange Manyelo
Bw. Mramba Makange Manyelo ni Afisa Mkuu wa Fedha na Uendeshaji wa atamizi ya biashara ya Dar Teknohama Business Incubator...
Sosthenes Sambua
Bw. Sosthenes Sambua ni mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji na ushindani cha Tanzania (TECC). kabla ya nafasi hii alikuwa...
Stanley Mosha
Bw. Stanley Mosha ana Diploma ya Juu ya Ujasiriamali na Maendeleo ya Biashara (PGDEED), stashahada ya juu katika usimamizi wa...
Suleiman Hamyar Suleiman
Bw. Suleiman Hamyar Suleiman kwa sasa anafanya kazi SUZA (State University of Zanzibar kama mratibu wa miradi ya Mwaka wa...