Wilson Mnyabwilo
Infoshule
Profile details
Likes:
Comments:
0
Mradi
Infoshule
Kuhusu mimi
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Bwilotech Co. Ltd. Nitafahamu maumivu ya kuacha shule, kwa hivyo ninatengeneza vitu vya kibunifu ili kuwalinda wanafunzi wasipatwe athari ya kuacha shule. Nikiwa kama mtengenezaji wa program za kompyuta na kijana mjasiriamali, nataka nitumie vyote teknolojia ya data na teknolojia ya habari ili kuwezesha ushirikishwaji wa wazazi katika suala zima la elimu la watoto wao. Lengo langu ni kupunguza utoro na kiwango cha uachaji shule kwa wasichana na wanawake vijana.
Mada
Kupunguza uachaji shule wa mapema unaopunguza fursa kwa wasichana na wanawake vijana.
Timu
Steven W. Mchunguzi, Hamis S. Fundi and Vitalis G. Kihinja
Ufumbuzi
Infoshule ni App ya Simu inayotumia USSD itakayowawezesha wazazi wenye watoto walio na kipato cha chini kuweza kufuatilia maudhurio ya wanafunzi na matokeo ya mitihani kwa kutumia simu zao za mikononi kwa kupiga (*149*57#). Infoshule pia inajumuisha App inayotumia Android na Web kwa walimu kuweza kuingiza maksi za mitihani na maudhurio. Pia kusaidia wazazi kuangalia matokeo kwa urahisi kupitia *149*57#
Categories: