Mimi nikiwa mwanamke na mhandisi, nataka kutumia uchambuzi wa kutabirika na mashine za kujifunzia ili niweze kuwasaidia Maofisa Mipango wa Wilaya kutabiri athari za bajeti ya elimu kwenye viwango vya uachaji shule kwa wasichana lengo likiwa ni kupunguza viwango vya uachaji shule kwa wasichana na kuwawezesha kupata elimu.
DLI – DropwallRose Peter Funja
Uachaji wa Shule Utokanao na Sababu za kiafya na Ufahamu mdogo wa ufuatiliaji wa Vihatarishi
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
Project
Uachaji wa Shule Utokanao na Sababu za kiafya na Ufahamu mdogo wa ufuatiliaji wa Vihatarishi
About Me
Mimi nikiwa mwanamke na mhandisi, nataka kutumia uchambuzi wa kutabirika na mashine za kujifunzia ili niweze kuwasaidia Maofisa Mipango wa Wilaya kutabiri athari za bajeti ya elimu kwenye viwango vya uachaji shule kwa wasichana lengo likiwa ni kupunguza viwango vya uachaji shule kwa wasichana na kuwawezesha kupata elimu.
Theme
Uwezeshaji wa wananchi
Location
Mbeya and Nzega
Team
Rose Peter Funja, Alfred Elias Kajirunga, Hashimu Rwenyagira Jabil, Hamisi Jumanne Kalegele, Vivian Timoth Wonanji, and Emmanuel Chifuel Manasse
Solution
Ufumbuzi wangu ni chombo cha kielektroniki cha uchambuzi ambacho kitatumia kiashiria kinachoitwa Dropout & Low literacy Likelihood Identity (DLLI) kusaidia kurahisisha kutambua makundi elekezi kwa kwenda kwa walengwa zaidi ambao ni wasichana walio katika hatari zaidi kutokana na changamoto ya uachaji wa shule ili utatuzi wake kuwa makini zaidi na wa wakati. Chombo cha DLLI kitasaidia Serikali iliyopo kushinikiza kufaidika kwa kupata data bora kwa uhuru, na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi miongoni mwa watanzania.
Scale up
Utanuzi wa Dropwall utajumuisha maeneo makuu mawili (1) Kuboresha utumiaji wa mfumo kiurahisi, usalama ma uvunaji wa data; na (2) Uboreshaji wa utendaji wa module na algorithms. Na pia tumelenga kutanua wigo wa Dropwall kwenye wilaya mpya ili maafisa wilaya wengi zaidi waweze kufaidika na nguvu ya utabiri ya Dropwall.
Categories: