Rahim Abas Kiobya
Geo-Afya (GIS in Healthcare Services)
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
About Me
Nikiwa kama mwanasayansi wa takwimu, nataka kuchanganya habari za kijiografia na takwimu zilizowazi ili kuonyesha kupangilia rasilimali za afya na magonjwa na mazingira yake ili tuweze kuboresha ufuatiliaji wa huduma za afya
Theme
Upatikanaji wa huduma bora za afya na taarifa
Location
Iringa
Team
Deodatus C Changala
Solution
Ufumbuzi wangu utatumia GIS pamoja na seti za data zilizo wazi ili kuboresha uchunguzi wa huduma za afya. Rasilimali za afya za umma, magonjwa maalum na matukio mengine ya afya yanaweza kupangiliwa kulingana na mazingira yao ya karibu na miundombinu ya afya na kijamii. Data zilizopo wazi zitaunganishwa na taarifa ambazo zitaelezea maeneo maalum ya kijiografia na kufuatilia athari inayoendelea ya matukio ya afya na kufuatilia maeneo hayo - maeneo ya kazi, maeneo ya makazi - ambayo huathiriwa na magonjwa fulani.
Website
www.geospatialtz.com
Categories: