DLI – OurVoiceOurHealth
Rachel Samuel Nungu
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
About Me
Mimi kama daktari, nataka kufanya kazi kama kiungo kati ya jamii na mamlaka za vituo vya afya. Ninataka kuwapa Watanzania sauti ya kushiriki maoni yao juu ya ubora wa huduma za afya wanazopokea, na pia waweze kutumia takwimu hizi ili kusaidia bodi za serikali zinazojihusisha na masuala ya afya katika uboreshaji huduma zake na kuwafanya watu waweze kuamini vituo vya afya na kupata huduma bora zaidi.
Theme
Mrejesho kutoka kwa Jamii
Location
Mwanza
Team
• Rachel Samuel Nungu• Albert Francis Emmiliana• Jackson Sabure Mtatiro• Violeth Alphonce Mbuni
Solution
Ufumbuzi wangu ni jukwaa la uboreshaji wa michakato ili kuwezesha jamii kushiriki maoni yao juu ya ubora wa huduma za afya wanazopata katika vituo vya afya. Baada ya hapo kuileta pamoja jamii na wanachama waongozaji wa vyombo husika vya afya, wataalamu wa afya na watunga sera kujadili na kupanga mipango ya kuboresha huduma.
Categories: