
Bw. Nguza Kinonda, ni Meneja wa Fedha wa Mradi wa Data for Local Impact. Ni mtaaalam wa masuala ya fedha, anayeshughulikia shughuli za kifedha za mradi kwa kuhakikisha uwekaji wa kumbukumbu unfanyika kwa ufasaha na kwa wakati pia uhakikisha ufuatiliaji wa mifumo ya ndani uendeshaji inatumika mara kwa mara.