Mohammad Abdulghany Himidi Msoma
Health Loc
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
Project
Health Loc
About Me
Nikiwa na asili ya Zanzibar, nataka kutumia takwimu zailizowazi ili kusaidia raia wenzangu (na watalii) kwenda katika hospitali na maduka ya madawa kwa muda muafaka wanapohitaji huduma za matibabu hivyo kwa kupitia mpango huu wataweza kufahamu mahali pa kwenda.
Theme
Upatikanaji wa huduma bora za afya na taarifa
Location
Zanzibar
Team
Mohammad Abdulghany Himidi Msoma, Ahmed Sufian Makame, Hafidh Malik Ali, Masoud Muharam Machano, na Natalia Mohamed Masoud
Solution
Ufumbuzi wangu ni mfumo utakaotumia simu za mkononi ambao utawaunganisha watoaji wa huduma za mtandao wa simu na kuwezesha upatikanaji wa habari za afya ya umma kwa wote raia na wasio raia.
Scale up
Kupitia msaada kutoka Wizara ya Afya ya Zanzibar, timu yetu itaongeza vipengele zaidi kwenye HealthLoc ili kuhudumia wote wakazi na watalii Zanzibar. Mfumo huo mpya utakuwa na uwezo wa: kuwawezesha watumiaji kuweka mihadi na dokta, kuhita gari la wagonjwa kwa hospitali ya karibu, na kuwaunganisha watalii waliopo mahotelini na vituo vya afya vya karibu.
Website
www.healthloc.co.tz
Email
info@healthloc.co.tz
Categories: