Lorraine Kiswaga

Lorraine Kiswaga

Lorraine Kiswaga ana zaidi ya miaka saba ya uzoefu katika afya ya uzazi na haki ya kijinsia, unyanyasaji wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi wa wanawake. Kwa sasa Bi. Kiswaga anaongoza utafiti katika kampuni ya ushauri Tanzania inayoitwa Gender Equality and Women Empowerment Infocus (GEWEI), ambapo huanzisha, kubuni na kuingiza vipengele vya utafiti wa shughuli za shirika nchini Tanzania. Lorraine anashikilia shahada ya uzamili ya sosiologia kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam na stashahada katika afya ya uzazi na haki kutoka chuo cha Lund, Sweeden akijikita zaidi katika eneo la hatari za vijana, tabia na jinsia. Bi. Kiswaga anaongozwa na ahadi yake kwa usawa wa kijinsia. Siku moja anatarajia kushuhudia jamii yenye  usawa ambapo kila mtu, bila kujali jinsia yake, na upatikanaji sawa  wa fursa na rasilimali.

Profile details

Leave a Reply

Your email address will not be published.