Leyla Hamis Liana
Mlinde Game App
Profile details
Likes:
Comments:
0
Mradi
Mlinde Game App
Kuhusu mimi
Kwa mujibu wa USAID, wasichana 17,000 upata maambukizi mapya ya VVU kila mwaka na mbinu za ufundishaji za sasa hazitosherezi. Timu yetu itatumia michezo ili kuwaelimisha wanaume wenza, kuanzia miaka ya 15-24 na kuzalisha takwimu/data juu ya mienendo yao.
Mada
Male partnership to protect AGYW against HIV/AIDS
Timu
Godbless Minja, Essau Miforo, Iroko Muhidin, Basilisa Mvungi, Bonavetura Mpondo, Fredy Boyo
Ufumbuzi
Suluhisho litatumia michezo ili kuwaelimisha wanaume kwa ajili ya kuwalinda wasichana na wanawake vijana dhidi ya VVU/UKIMWI. Michezo itakuwa rafiki kwa vijana, ikiwa ni rahisi inayojumuisha elimu na burudani. Mchezo wa Mlinde utawaelimisha wanaume juu ya upunguzaji wa mazingira hatarishi kama ya kujizuia kutumia kondomu wakati ambapo washiriki wanapata changamoto za ufanyaji maamuzi ya kutumia kondomu inayowahakikishia maisha yao. Aidfha, jukwaa linategemea kutengeneza takwimu juu ya mienendo ya washiriki na mapendekezo. Mradi unajaribu kuangazia tatizo la ukosekanaji wa data kwa kuzalisha data kuhusu mienendo ya wanaume wenza na athari ya elimu juu ya upunguzaji wa mienendo hatarishi kwa wanaume wenza. Takwimu/data hizi zitatumika baadae katika kuelewa mapendelezo ya vijana na kutaarifu mipango mingine ya vijana.
Categories: