Lazaro Kapaya

Home / Lazaro Kapaya

Lazaro Kapaya

Afisa Ruzuku

 

Bw. Lazaro Kapaya ni Afisa anayesimamia Ruzuku wa Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact. Katika timu anaweka mchango wake mkubwa utokanao na uzoefu aliokuwanao katika masuala ya uongozaji fedha na ruzuku, ambao anautumia kusaidia washindi wa shindano kusimamia vyema ruzuku zao. Kwa uzoefu tu, Bw. Kapaya amechangia kwa kiasi kikubwa katika vita dhidi ya ugonjwa wa malaria nchini Tanzania kwa kuongeza matumizi ya vyandarua vyenye dawa.

Profile details

Leave a Reply

Your email address will not be published.