Kakute Project
Takwimu Vijijini
Profile details
Likes:
Comments:
0
Mradi
Takwimu Vijijini
Timu
Livnus Manyanga, Matthew Hansen, Lucy Morewa, Riz Khambata, Gussai Sheikheldin
Kuhusu sisi
Ikiwa kama Taasisi ya Kibiashara ya Kijamii, tunatengeneza mtandao wa vijana waliopo vijijini Tanzania nzima, kwa kuunganisha taasisi zinazoongozwa na vijana na takwimu/data wanazohitaji kwa ajili ya kufanya maamuzi katika utoaji wa bidhaa zao na huduma.
Mada
Kutengeza na kukuza muunganiko baina ya vijana na fursa za kiuchumi
Ufumbuzi
Takwimu Jamii inafungua taarifa za kimasoko katika ngazi ya kijiji, kata na wilaya kwa kuziwezesha biashara, Mashirika yasiyo ya kiserikali, na serikali kufanya maamuzi mazuri na sahihi. Tunafanya hivi kupitia mtandao wa wakusanyaji takwimu, vifaa sahihi, taratibu za takwimu-wazi na ushirikiano. Ukusanyaji wa takwimu, dashibodi na takwimu-wazi vinasaidiwa na biashara, NGO na wadau serikalini kwa kulipia upatikanaji takwimu zilizo na ubora za kimasoko. Kwa wajasiriamali wengi vijana, kuna muda mfupi ambao unapunguza ubora wa tatuzi zao, au uchaguzi wa sehemu sahihi kwa shughuli zao, ulingana na uendelevu wa biashara zao. Kwa kushirikiana na mtandao wa vijana, tunasambaza takwimu za kimasoko kwa wajasiriamali vijana na kutaarifu maamuzi yao na kukuza upatikanaji wa masoko.
Categories: