Nikiwa kama kaka, inaniumiza ninaposikia kuna baadhi ya wanafunzi wa kike hushindwa kuhudhuria masomo wanapokuwa katika siku zao.
Kutokana na tatizo hilo nataka kutumia jukwaa lakielektroniki katika kupeana taarifa kuhusu Usimamizi wa Usafi wakati wa Hedhi katika shule za sekondari ili kukuza uelewa juu ya usafi wakati wa hedhi, na tunaweza kupunguza idadi ya wasichana wanaoacha masomo kutokana na hedhi.
Josephat Geoffrey Mandara
Tausi Jukwaa
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
Project
Tausi Jukwaa
About Me
Nikiwa kama kaka, inaniumiza ninaposikia kuna baadhi ya wanafunzi wa kike hushindwa kuhudhuria masomo wanapokuwa katika siku zao.Kutokana na tatizo hilo nataka kutumia jukwaa lakielektroniki katika kupeana taarifa kuhusu Usimamizi wa Usafi wakati wa Hedhi katika shule za sekondari ili kukuza uelewa juu ya usafi wakati wa hedhi, na tunaweza kupunguza idadi ya wasichana wanaoacha masomo kutokana na hedhi.
Theme
Uwezeshaji kwa wananchi
Location
Kinondoni Municipal Council
Team
Josephat Geofrey Mandara, Godluck Paulo Akyoo, Alex Lawrence Charles, Mwasapi Nazareno Kihongosi, Fransisca Godfrid Silayo, and Hamisi Khalidi Mkongo
Solution
Ufumbuzi wangu ni mfumo wa kielektroniki ambao unajumuisha vitu kama vile vitabu, mabango, picha, mikanda ya video / DVD na vitu vingine vinavyoweza kutumika kwa kufundisha au kusoma masuala ya Usimamizi wa Usafi wa Hedhi katika Shule za Sekondari nchini Tanzania.
Scale up
Mbali na kujitanua kufikia maeneo mengine mapya, Tausi Jukwaa itaongeza vipengele vingine katika jukwaa letu: kalenda itakayo tambua vipindi vya hedhi, vifaa vya kufundishia vya Usafi wa Hedhi, na maswali na majibu ya papohapo. Pia tutananua mfumo wetu ili kutoa taarifa kupitia USSD na SMS ili kuwafikia wanafunzi vifaa visivyo tumia intaneti.
Categories: