DLI – UsichanaWangu Kwanza
Jonathan Manyama Kifunda
Usichana Wangu Kwanza
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
Project
Usichana Wangu Kwanza
About Me
Kama mwanaharakati wa jamii, nataka kutumia takwimu ili kuendeleza Kitabu changu cha Usimamizi wa Usafi kipindi cha Hedhi (MPM) ili kuwaelimisha wasichana, wazazi, na walimu ili tuweze kuhamasisha mazungumzo ya wazi karibu na MPM na kuwasaidia kuelewa kwamba kipindi cha hedhi kwa mwanamke ni sifa; Si laana. Lengo ni hatimaye tuweze kuwarejesha wanawake na wasichana wadogo mashuleni na kupunguza ubaguzi unaosababishwa na hedhi.
Theme
Uwezeshaji kwa wananchi
Location
Shinyanga Region
Team
Jonathan Manyama Kifunda, Hamisi Juma Gumbo, Mussa Simon Magoma, Peter Andewa Matyoko, Seraphina Raphael Ariro, Stella Aoko Wanyama
Solution
Ufumbuzi wangu unajumuisha vifaa vya utaoji elimu juu ya Usafi wa hedhi hususani umelenga maeneo ya mabli vijijini ikiwa ni pamoja na video ya elimu, michezo n.k. ili kuelimisha wasichana, wazazi na walimu – ili kuweza kupunguza suala la utoro unaosababishwa na hedhi. Lengo ni hatimaye kuweza kukomesha utoro wa wanawake na wasichana wadogo mashuleni. Ufumbuzi huo utatumika katika mashule na kwenye jamii (kupitia sinema za wazi) na kuvutia watu kwa urahisi.
Scale up
Thubutu Africa Initiatives (TAI) inalenga kutanua mradi katika maeneo yafuatayo:: Kukuza Elimu juu ya Usafi wa Hedhi miongoni mwa wasichana mashuleni (AGYW) na jamii zao kupitia vifaa maalum vya kutolea elimu. Kuongeza uzalishaji wa pedi zitumikazo tena (Bintipads) ili kufikia wilaya tano: Kishapu, Wilaya ya Shinyanga, Manispaa ya Shinyanga, Ushetu na Msalala. Kitengo cha uzalishaji kitafanyia kazi zake katika manispaa ya Shinyanga zilipo ofisi za TAI. .
Categories: