DLI-HealthInformation
Jackson Ilangali
Hospital Info System
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
Project
Hospital Info System
About Me
Kama daktari kitaaluma, nataka kutumia teknolojia ya simu ili kuongeza ufikiaji wa habari unaopatikana kwenye Msajili wa Kituo cha Afya ili wagonjwa waweze kuuliza kwa SMS kuhusu aina za huduma zinazotolewa katika vituo vya afya vya karibu na kufanya maamuzi kuhusu mahali bora pa kwenda kwa ajili ya huduma iliyosahihi na bora.
Theme
Upatikanaji wa huduma bora za afya na taarifa
Location
Mbeya and Kyela
Team
Jackson Ilangali, Innocent Mbulang'hulu Kateba, Selina Musa Mwalyolo
Solution
Ufumbuzi wangu utatumia usajili wa vituo vya afya mtandaoni (HFR) ili kuunda mfumo maalum zaidi, mfumo rafiki ambao utawezesha upatikanaji wa haraka wa habari juu ya vituo vya afya na aina ya huduma zinazotolewa katika kila kituo katika mamlaka ya kijiji iliyochaguliwa kupitia ujumbe wa SMS, orodha ya mtandaoni ya vituo vya afya. Mfumo utajumuisha kipengele cha mawasiliano kwa kila kituo (barua pepe / namba ya simu) ili kuwezesha uombaji wa huduma.
Website
https://twitter.com/HospitalInfoPro
Categories: