Emila T Msangi
Binti na Maamuzi (BnM)
Profile details
Likes:
Comments:
0
Mradi
Binti na Maamuzi (BnM)
Kuhusu mimi
Nikiwa kama Afisa Rasilimali Watu Upande wa Afya, nataka kutumia tawimu/data dhidi ya unyanyasaji kwa wasichana na wanawake vijana, ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya – hususani zile zinazohusiana na VVU/UKIMWI na kuchangia katika upunguzaji wa VVU/UKIMWI kwa ujumla.
Mada
Kuongeza nafasi za uongozi na ufanyaji wa maamuzi kwa wasichana na wanawake vijana katika vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi.
Timu
Rose Nyemele, Mohamed Sube, Albert Muniko
Ufumbuzi
Baada ya hatua ya awali ya ukusanyaji wa takwimu/data za unyanyasaji wa wasichana na wanawake vijana, mradi utatambulisha App ya simu, ambayo itatoa taarifa juu ya unyanyasaji dhidi ya wasichana na wanawake vijana na kuwaunganisha na huduma za afya katika masuala ya VVU/UKIMWI. Mradi pia utatambulisha databezi yenye taarifa juu ya unyanyasaji wa wasichana na wanawake vijana na upatikanaji na utumiaji wa huduma za kiafya husika. Takwimu/data hizi pia zitatolewa kupitia tovuti ya mradi.
Categories: