Collin Gumbu

Home / Collin Gumbu

Bw. Collin Gumbu ni Meneja anayesimamia ruzuku wa Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact. Anachangia katika kutoa ujuzi wake kuwasaidia wabunifu na wajasiriamali katika usimamizi wa ruzuku zao kutoka DLIIC. Hutoa msaada hususani katika maeneo ya Usimamizi wa Fedha, Uhasibu na Uwekaji wa Kumbukumbu ndani ya shughuli za kifedha za mradi na kuhakikisha kuwa shughuli zote zinafanywa kwa njia ya ufanisi na bora.

Profile details