Bw. Basil Malaki an uzoefu wa zaidi ya nusu muongo na kuendulea katika mazingira makubwa ya teknolojia ya afrka ya mashariki, uvumbuzi na ujasiriamali. Amefanya kazi katika mipango ya huduma za kijamii kutoa huduma za mawasiliano na usimamizi wa mradi, kuwezesha, kujenga timu, ushauri na msaada wa programu.
Bw. Malaki ana shahada ya mawasiliano na matangazo, amani na azimio la migogoro, pamoja na stashahada katika usimamizi wa miradi.
Kwa sasa anafanya kazi na Hivos IIED Energy Change Lab nchini Tanzania kama kiongozi wao wa mawasiliano.