Ability Kakama
Bei Sokoni
Profile details
Likes:
Comments:
0
Mradi
Bei Sokoni
Kuhusu mimi
Mimi ni mchumi, na Mchambuzi wa Biashara, nikiwa na lengo la kutanua fursa za kiuchumi kwa vijana, nataka nitumie data/takwimu na teknolojia ya kidijitali kurahisisha ujumuishi mpana wa vijana katika kazi za uzalishaji, na fursa nzuri za kiuchumi.
Mada
Kuendeleza na Kukuza muunganiko baina ya vijana na fursa za kiuchumi
Timu
Julius Shirima, Alfred Kiwuyo, Catherine Tuya
Ufumbuzi
Bei Sokoni itakuwa ikitoa taarifa juu ya masoko ya bidhaa za kilimo, na kurahisisha upatikanaji wa rasilimali ili kupunguza vizuizi kwa vijana kuingia katika biashara ya kilimo.
Categories: