Wekeza

Scale up Opportunities

DLIIC imeshatoa ruzuku 37 kwa watanzania wabunifu wanaotumia takwimu/data na teknolojia katika kutatua changamoto zinazohusiana na afya, VVU/UKIMWI, usawa wa kijinsia, na uwezeshaji wa kiuchumi. Wabunifu hawa wakishafanikiwa kumaliza miradi yao, wanakuwa na fursa ya kuomba ruzuku ya ziada ili kuwasaidia kutanua kazi zao. Washindi hawa wameweza kuzalisha matokeo yanayoonekana na yanayowezapimika. Tunakukaribisha uweze kuwekeza katika fursa hizi ili kuleta matokeo makubwa zaidi Tanzania. Soma juu ya fursa hizi hapa chini na uone maeneo waliyoyafikia kupitia ramani.

Kama unania ya kuwekeza, wasiliana nasi kupitia info@dli.teknohama.or.tz

 George Matto

George Matto

 Bukhary Kibonajoro

Bukhary Kibonajoro

 Lulu Ameir

Lulu Ameir

 Josephat Mandara

Josephat Mandara

 Rose Funja

Rose Funja

 Jonathan Kifunda

Jonathan Kifunda

 Mohammad Msoma

Mohammad Msoma