Dirisha la kwanza la DLI Innovation Challenge lililenga mashirika na watu binafsi kutoka Tanzania nzima. Uombaji wa ushiriki katika shindano hiulo ulianza kuanzia Oktoba 25 hadi Novemba 26 mwaka jana saa 6:00 usiku. Dirisha hilo la kwanza liliwavutia waombaji wapatao 723 kutoka taasisi 190 ziulizosajiliwa na 533 kutoka kwa waombaji binafsi. Hata hivyo ni taasisi...
Category: Uncategorized @sw
DLIIC katika mchakato wa kutafuta wabunifu ili kupambana na changamoto za afya nchini Tanzania
DLIIC katika mchakato wa kutafuta wabunifu ili kupambana na changamoto za afya nchini Tanzania Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, Serikali ya Tanzania imekuwa na maendeleo mazuri katika kufungua vituo vya takwimu ili kuweza kuweka uwazi mkubwa na kuongeza ufanisi kiutendaji. Hata hivyo pamoja na jitihada hizo za serikali kuna fursa nyingine ya kuhusisha zaidi...
Je unafahamu jinsi ya kufanya uwasilishaji?
Je una wazo la ubunifu, ambalo litabadilisha sekta na kusaidia watu wengi. Vizuri! Sasa unawezaje kumshawishi mtu ili aweze kuwekeza katika wazo lako? Inawezekana kwamba wakati fulani, utahitaji “kuwasilisha wazo lako” kwa wawekezaji. Unapowasilisha wazo lako kwa wawekezaji, utawatupia wazo lako kwao na unatarajia watalipokea, watalipenda na kuwekeza. Sehemu ya shindano la ubunifu la DLI...