Category: News

Aina 3 za washauri wanaotoa msaada kwa Washindi wa DLIIC
Post

Aina 3 za washauri wanaotoa msaada kwa Washindi wa DLIIC

Mbali na fedha na msaada wa kiufundi, DLIIC humpatia mpokea ruzuku wake mshauri au huduma ya huduma ya ushauri. Wanaume na wanawake ambao hutumiwa kama washauri wa DLIIC wana uzoefu mkubwa katika nyanja mbalimbali, kutoka uhandisi wa umeme mpaka kwenye afya ya uzazi hadi mawasiliano na sayansi ya kompyuta. Kila mshauri huleta mtazamo wa pekee...

March 7, 2018March 7, 2018by
Jinsi Ushauri unavyofanya suala la ubunifu liwezekane
Post

Jinsi Ushauri unavyofanya suala la ubunifu liwezekane

MRADI wa Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) ni wa kitaifa ambao unaungwa mkono na washirika kadhaa ili kuwasaidia vijana kujifunza jinsi ya kuwa wabunifu. DLIIC hutoa msaada kwa wabunifu ambao hutumia takwimu kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za kimaisha ambazo mara nyingi huwa zinawakabili wasichana na wanawake wenye umri mdogo. Hata...

February 27, 2018February 27, 2018by
DLIIC second window winners are set to fight HIV among girls and women in Tanzania
Post

DLIIC second window winners are set to fight HIV among girls and women in Tanzania

DLIIC awarded grants to nine Tanzanian innovators and one Tanzanian not-for-profit social enterprise, Ubongo Kids. The grants support data-focused solutions that aim to reduce the risks of contracting HIV/AIDS among Adolescent Girls and Young Women (AGYW). These entrepreneurs will receive awards ranging from 10,000 to 25,000 USD (individuals) and 100,000 USD (organization) as well as...

December 22, 2017December 22, 2017by
DLIIC yapata  washindi wa awamu ya pili ya shindano la ubunifu
Post

DLIIC yapata washindi wa awamu ya pili ya shindano la ubunifu

Wabunifu tisa kutoka Tanzania  na taasisi moja isiyo ya kiserikali, Ubongo Kids, wapatiwa ruzuku ili kuwezesha utekelezaji wa  ubunifu wao kupitia mpango wa  Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) inayofadhiliwa na Mpango wa Dharura  wa  Rais wa Serikali ya Marekani  unaojihusisha na masuala ya  Ukimwi (PEPFAR) chini ya Ushirikiano wa  (DCLI)  wanaosimamiwa na taasisi...

October 13, 2017October 16, 2017by
Dirisha la Tatu la Shindano la DLI kuangazia masuala ya ukuaji wa uchumi
Post

Dirisha la Tatu la Shindano la DLI kuangazia masuala ya ukuaji wa uchumi

Baada ya mashindano mawili yaliyofanikiwa, Data for Local Impact (DLI) Innovation Challenge ipo katika mkakati wa kuandaa Shindano la Dirisha la Tatu. DLI ilifanya shindano lake la dirisha la pili mnamo mwezi Mei 2017 baada ya shindano la kwanza mwezi Oktoba 2016. Wakati shindano la likiangazia masuala ya uboreshaji afya na dirisha la pili likilenga...

August 27, 2017September 6, 2017by
Washiriki 18 watetea mapendekezo yao kwenye Shindano la Pili la DLI “DREAMS”
Post

Washiriki 18 watetea mapendekezo yao kwenye Shindano la Pili la DLI “DREAMS”

Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact (DLI) linawapongeza washiriki wote ishirini wa dirisha la pili la shindano kwa kufikia hatua ya kutetea hoja zao. Kati ya washiriki 20, washiriki 18 waliweza kushiriki vizuri katika tukio hilo wakitetea mapendekezo yao, wakichangia mawazo yao tofauti ya jinsi gani ya kuwalinda wasichana na wanawake vijana dhidi...

August 25, 2017September 6, 2017by
Je unafahamu jinsi ya kufanya uwasilishaji?
Post

Je unafahamu jinsi ya kufanya uwasilishaji?

Je una wazo la ubunifu, ambalo litabadilisha sekta na kusaidia watu wengi. Vizuri! Sasa unawezaje kumshawishi mtu ili aweze kuwekeza katika wazo lako? Inawezekana kwamba wakati fulani, utahitaji “kuwasilisha wazo lako” kwa wawekezaji. Unapowasilisha wazo lako kwa wawekezaji, utawatupia wazo lako kwao na unatarajia watalipokea, watalipenda na kuwekeza. Sehemu ya shindano la ubunifu la DLI...

August 4, 2017September 7, 2017by