Category: News

Wabunifu Tisa Wajishindia ruzuku kutoka Dirisha la Nne la Shindano la DLI
Post

Wabunifu Tisa Wajishindia ruzuku kutoka Dirisha la Nne la Shindano la DLI

Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limewachagua wabunifu 9 ikiwa ni Taasisi 5 na Watu Binafsi 4 kupokea ruzuku chini ya Dirisha la Nne la DLI. Dirisha hilo lililenga zaidi changamoto zilizopo katika jamii zilizotambuliwa na wananchi wa kawaida kupitia mradi dada wa Data Zetu ambao umelenga katika kukuza matumizi...

November 30, 2018November 30, 2018by
Uzinduzi wa TanzMED, jukwaa la kibunifu la taarifa za afya
Post

Uzinduzi wa TanzMED, jukwaa la kibunifu la taarifa za afya

Ukiwa na swali juu ya afya yako, ni nani utakaye muuliza? Wengi wetu tunawaamini madokta wetu kwa taarifa za kiafya, lakini inakuwaje kama hauwezi kusubiri apointimenti?  Jukwaa jipya linaziweka taarifa hizi muhimu za afya katika ncha ya vidole vya watanzania. Jukwaa hilo, lijulikanalo kama TanzMED, limetengezwa ili kutoa upatikanaji wa taarifa za huduma ya afya...

October 19, 2018October 19, 2018by
41 waitwa kutetea mapendekezo yao katika Shindano la Nne la DLI
Post

41 waitwa kutetea mapendekezo yao katika Shindano la Nne la DLI

Kati ya maombi 344 yaliyopokelewa wakati wa dirisha la nne la mashindano, DLIIC ilichagua wahitimu 41 (wanawake 13 na wanaume 28) kufikia hatua ya juu. Wahitimu hawa 41 walitetea mawazo yao mbele ya jopo la majaji wataalam kutoka Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu katika kitengo cha Uwezeshaji wa Vijana Kiuchumi. Tukio hili...

September 14, 2018September 14, 2018by
Wabunifu wa DLI waonyesha matokeo ya miradi yao katika Wiki Ya Ubunifu Mwaka 2018
Post

Wabunifu wa DLI waonyesha matokeo ya miradi yao katika Wiki Ya Ubunifu Mwaka 2018

Wiki ya Ubunifu kwa Mwaka huu wa 2018 (Ikifanyika kuanzia Mei 21-26) ilisisitiza “Ubunifu kwa Vitendo” na ilitoa jukwaa maalum lililowezesha ubunifu kuonekana ambao uleta matokeo chanya katika maendeleo ya binadamu. Tukio hilo la kipekee, liliandaliwa na taasisi ya Human Development Innovation Fund (HDIF) na lilifanyika katika ofisi za Tume ya Sayansi na Teknolojia ya...

June 2, 2018June 2, 2018by
Shindano la Nne la DLI lalenga moja kwa moja kwenye changamoto za kijamii
Post

Shindano la Nne la DLI lalenga moja kwa moja kwenye changamoto za kijamii

Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limezindua rasmi dirisha la nne la shindano. Katika dirisha la nne la shindano la DLIIC litalenga zaidi matatizo yaliyotambuliwa na wananchi wa kawaida kupitia mradi mwingine wa DCLI, wa Data Zetu, ambao unalenga katika uongezaji wa matumizi ya takwimu katika ngazi za chini.

April 27, 2018April 27, 2018by
61 Watetea Mapendekezo yao Katika Dirisha la Tatu la Shindano la DLIIC
Post

61 Watetea Mapendekezo yao Katika Dirisha la Tatu la Shindano la DLIIC

Shindano la Ubunifu kwa kutumia takwimu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) linapenda kuwapongeza washiriki 61 (mashirika 12 na watu binafsi 49) waliofikia katika hatua ya kutetea mapendekezo yao katika Dirisha la Tatu la shindano la DLIIC, ambalo lilijikita zaidi katika masuala ya Ajira kwa Vijana na Uwezeshaji wa Kiuchumi.

April 5, 2018April 6, 2018by
Wafadhili katika Sekta ya Ubunifu waaswa kujitokeza kuwekeza katika miradi endelevu itokanayo na takwimu/data
Post

Wafadhili katika Sekta ya Ubunifu waaswa kujitokeza kuwekeza katika miradi endelevu itokanayo na takwimu/data

DLIIC inazindua shindano jipya la ubunifu kwa miradi endelevu ikiwa ni jitihada madhubuti za kuendelea kuwaunga mkono wale waliopokea ruzuku  na waliofanikiwa kukamilisha hatua muhimu katika mradi yao, kutengeneza tatuzi zao zilizoanza kufanyakazi, na kupata msaada wakifedha kutoka kwa mshirika wa nje. Tunatafuta washirika wan je na wafadhili ikiwa ni pamoja ma Serikali, wafadhili, sekta...

March 15, 2018March 15, 2018by