Category: Awards

Uwezeshaji wa wagunduzi nchini Tanzania
Post

Uwezeshaji wa wagunduzi nchini Tanzania

Shindano la Ugunduzi kwa kutumia Data lijulikanalo kama Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) hivi karibuni limechagua washindi wagunduzi 12 waliopata tuzo zenye lengo la kutatua changamoto mbali mbali katika sekta ya afya Tanzania. DLIIC inafadhiliwa na serikali ya Marekani chini ya Mpango wa Rais wa Dharura unaosimamia masuala ya upungufu wa kinga mwilini...

April 19, 2017September 7, 2017by
  • 1
  • 2