Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limewachagua wabunifu 9 ikiwa ni Taasisi 5 na Watu Binafsi 4 kupokea ruzuku chini ya Dirisha la Nne la DLI. Dirisha hilo lililenga zaidi changamoto zilizopo katika jamii zilizotambuliwa na wananchi wa kawaida kupitia mradi dada wa Data Zetu ambao umelenga katika kukuza matumizi...
Category: Awards
22 watetea mapendekezo yao kwenye shindano la ubunifu la #ZeroHungerZeroAIDS
Wabunifu wakitanzania watoa suluhisho la changamoto ya jinsi gani nchi inaweza kufikia lengo la kumaliza njaa na Ukimwi yaani #ZeroHungerZeroAIDS. Zaidi ya waombaji 180 walituma mawazo yao ya jinsi gani ya kutatua masuala yatokanayo na njaa na VVU/UKIMWI kupitia utumiaji wa data.
41 waitwa kutetea mapendekezo yao katika Shindano la Nne la DLI
Kati ya maombi 344 yaliyopokelewa wakati wa dirisha la nne la mashindano, DLIIC ilichagua wahitimu 41 (wanawake 13 na wanaume 28) kufikia hatua ya juu. Wahitimu hawa 41 walitetea mawazo yao mbele ya jopo la majaji wataalam kutoka Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu katika kitengo cha Uwezeshaji wa Vijana Kiuchumi. Tukio hili...
Wabunifu 15 wajishindia ruzuku za Dirisha la Tatu la Shindano la DLIIC
Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limetoa ruzuku kwa washindi 15 (Taasisi zikiwa 5 na Watu Binafsi 10) kupitia Dirisha la Tatu la Shindano la DLI, lililolenga kwenye eneo la Ajira kwa Vijana na Uwezeshaji wa Kiuchumi.
61 Watetea Mapendekezo yao Katika Dirisha la Tatu la Shindano la DLIIC
Shindano la Ubunifu kwa kutumia takwimu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) linapenda kuwapongeza washiriki 61 (mashirika 12 na watu binafsi 49) waliofikia katika hatua ya kutetea mapendekezo yao katika Dirisha la Tatu la shindano la DLIIC, ambalo lilijikita zaidi katika masuala ya Ajira kwa Vijana na Uwezeshaji wa Kiuchumi.
DLIIC second window winners are set to fight HIV among girls and women in Tanzania
DLIIC awarded grants to nine Tanzanian innovators and one Tanzanian not-for-profit social enterprise, Ubongo Kids. The grants support data-focused solutions that aim to reduce the risks of contracting HIV/AIDS among Adolescent Girls and Young Women (AGYW). These entrepreneurs will receive awards ranging from 10,000 to 25,000 USD (individuals) and 100,000 USD (organization) as well as...
The third DLI Challenge Window has officially opened
The Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) is happy to announce the opening of its third challenge window, which focuses on Youth Empowerment.
DLIIC yapata washindi wa awamu ya pili ya shindano la ubunifu
Wabunifu tisa kutoka Tanzania na taasisi moja isiyo ya kiserikali, Ubongo Kids, wapatiwa ruzuku ili kuwezesha utekelezaji wa ubunifu wao kupitia mpango wa Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) inayofadhiliwa na Mpango wa Dharura wa Rais wa Serikali ya Marekani unaojihusisha na masuala ya Ukimwi (PEPFAR) chini ya Ushirikiano wa (DCLI) wanaosimamiwa na taasisi...
Washiriki 18 watetea mapendekezo yao kwenye Shindano la Pili la DLI “DREAMS”
Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact (DLI) linawapongeza washiriki wote ishirini wa dirisha la pili la shindano kwa kufikia hatua ya kutetea hoja zao. Kati ya washiriki 20, washiriki 18 waliweza kushiriki vizuri katika tukio hilo wakitetea mapendekezo yao, wakichangia mawazo yao tofauti ya jinsi gani ya kuwalinda wasichana na wanawake vijana dhidi...
- 1
- 2