Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limewachagua wabunifu 9 ikiwa ni Taasisi 5 na Watu...
Heading
SISI NI NANI
DLIIC inawasaidia wabunifu, wajasiriamali, watengenezaji, wa ndani ya nchi na watoa ufumbuzi kwa kubuni mipango yakinifu katika matatizo yanayohusiana na upungufu wa vitu na matumizi yenye ufanisi katika nyanja hiyo kwa kufanya maamuzi katika maeneo ya VVU / UKIMWI, afya ya kimataifa, jinsia, na ukuaji wa uchumi nchini Tanzania.
TUNAFANYA NINI
DLIIC inatoa kwa Watanzania wenye mawazo ya ubunifu kuhusu jinsi ya kutumia au kuchanganya vitu kwa njia mpya ya kupata ufahamu au kuwawezesha watu kupitia kupata taarifa ili kuweza kubadilisha maisha yao. Katika eneo hili,washindi upokea fedha na misaada ya kiufundi, ikiwa ni pamoja mafunzo, ushauri, na kuwajengea uwezo.
WEKEZA
Je wewe ni mfadhili au mwekezaji katika tatuzi zitokanazo na takwimu kwenye changamoto za afya, elimu, usawa wa kijinsia, maendeleo ya kiuchumi, uwezeshaji wa vijana, au lishe? Jifunze kuhusu fursa za kuwekeza kwenye miradi ya washindi wa DLIIC ambao wamefanikiwa kumaliza miradi yao na wanaomba fedha zaidi kwa ajili ya kuitanua.
IJUE DLI
MAWAZO YAKO, UFUMBUZI WAKO, FANYA MABADILIKO.
Karibuni Watanzania wote ambao ni wabunifu, wajasiriamali, watengenezaji, na watoa ufumbuzi! Tunahitaji msaada wako ili kuonyesha jinsi takwimu/taarifa na matumizi yake vinavyoweza kuleta mabadiliko katika maisha ya watu! Je, ungependa kujiunga? Shiriki Shindano Letu!
WASHIRIKA NA WAFADHILI
KUTOKA KWENYE
BLOGU
JIUNGE NA JARIDA LETU
Sajili kwa kutumia barua yako pepe ili upate habari na taarifa zaidi
NENO KUTOKA KWA WABUNIFU
STORI ZA MABADILIKO
[cmsmasters_instagram_feed id=”4101962921″]