Steven Edward Mangowi
Huduma za Afya na Viwango vya Utumiaji (HSRS)
Profile details
Likes:
Comments:
0
Project
Huduma za Afya na Viwango vya Utumiaji (HSRS)
Kuhusu mimi
Nikiwa kama mboreshaji mwenye uzoefu, nataka kutumia maelezo ya kijiografia na viwango vinavyotokana na jamii ili kuwawezesha watumiaji wa kituo cha afya kupata huduma fulani na kujua ubora wa huduma hiyo kwa kutumia simu zao za mkononi.Mimi pia nataka kutumia takwimu kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa za Tanzania (TFDA) ili kuwawezesha wagonjwa kuangalia kwamba madawa yanayopatikana yamesajiliwa nchini Tanzania.
Mada
Maoni toka kwa Jamii
Timu
- Steven Edward Mangowi Baraka Raphael Mlewa Deo Dolnald August Shao Dr. Hilda A Mwangakala Ilakoze Jumanne DorogweKabambaganye
Ufumbuzi
Ikiwa ni mfumo wa kimtandao unaoonyesha ramanii kijeografia ya vituo vya afya ambao unaruhusu wananchi kutazama vituo vya afya vya karibu na kutoa ripoti juu ya ubora wa huduma za afya zinazotolewa na vituo hivyo, na inaonyesha ni vipi vituo vya afya unaweza tembelea kulingana na ubora wa huduma inayotolewa kama ilivyoripotiwa na wagonjwa. Mfumo una moduli nyingine ya utambuzi wa madawa yaliyosajiliwa na vipodozi vinavyoidhinishwa kutumiwa nchini Tanzania.
Categories: