Joyce Samwel Msigwa
Doctor Fasta
Maelezo ya wasifu
Likes:
Comments:
0
Project
Doctor Fasta
About Me
Nikiwa mmoja kati ya watu waliopata shida katika kumpata mtaalam wa tatizo la kiafya, nataka kutumia teknolojia ya simu ya mkononi ili kuunganisha wataalamu wa afya (madaktari) na watu wanaohitaji huduma, hasa katika maeneo ya vijijini, ili Watanzania waweze kuunganishwa na huduma za afya wanazohitaji haraka na kwa urahisi.
Theme
Upatikanaji wa huduma bora za afya na taarifa
Location
Temeke and Kyela
Team
• Musa Sendama Kamata• Joyce Samweli Msigwa• Ng'wihula Peter Kingamkono• Alvin Edward Ulotu
Solution
Ufumbuzi wangu ni ufumbuzi unaotumia simu za mkononi unaounganisha wataalamu wa afya (madaktari na wataalamu) na watu wakati huo huo wakijifunza mwenendo na mifumo ya ukuaji wa magonjwa yasiyoweza kuambukizwa. Mfumo wote utasaidiwa na USSD, SMS, na teknolojia ya mtandao. Watu watafikiwa na huduma hii kwa kutumia simu zao za mkononi kwa kupiga simu kupitia namba maalum (Codes) na kupata maelezo zaidi. Tunatarajia maelezo ya wataalam (madaktari na wataalam wengine) (Jina, Mahali, Utaalamu) kutumwa kupitia SMS.
Categories: