Profile Category: Mentor

Suleiman Hamyar Suleiman
Profiles

Suleiman Hamyar Suleiman

Bw. Suleiman Hamyar Suleiman kwa sasa anafanya kazi SUZA (State University of Zanzibar kama mratibu wa miradi ya Mwaka wa mwisho katika Idara ya Sayansi na Teknolojia ya Habari, pia anafanya kama mwenyekiti wa TANIE (Tanzania information Ethics) na Zaidi ya yote ana uzoefu wa zaidi ya miaka kumi katika ufundishaji katika nyanja ya Teknolojia...

Stanley Mosha
Profiles

Stanley Mosha

Bw. Stanley Mosha ana Diploma ya Juu ya Ujasiriamali na Maendeleo ya Biashara (PGDEED), stashahada ya juu katika usimamizi wa ushirika (ADCM), na Cheti katika maendeleo ya ushirika na mafunzo ya mkufunzi.  Bw. Mosha hufanya kazi kamamtoa huduma za maendleo ya biashara (BDSP) na amehusika  katika kazi na mipango tofauti katika ngazi ya chini na...

Sosthenes Sambua
Profiles

Sosthenes Sambua

Bw. Sosthenes Sambua ni mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji na ushindani  cha Tanzania (TECC). kabla ya nafasi hii alikuwa meneja wa programu ya Gateway akisimamia maendeleo ya biashara katika Taasisi ya Sekta Binafsi  ya Tanzania (TPSF). Kabla ya hili alikuwa meneja wa kituo cha ushindani cha Biashara ndogo na za kati cha SCF, taasisi...

Mramba Makange Manyelo
Profiles

Mramba Makange Manyelo

Bw. Mramba Makange Manyelo ni Afisa Mkuu wa Fedha na Uendeshaji wa atamizi ya biashara ya Dar Teknohama Business Incubator  (DTBi). Kupitia kazi yake ya muda mrefu, pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Washauri wa Fedha za Biashara; Mratibu Mkazi wa Mradi wa GNBA unaofadhiliwa na UNDP; Mdhibiti wa Fedha wa Poverty Afrika nchini Tanzania, Kenya...

Jabhera Matogoro
Profiles

Jabhera Matogoro

Bw. Jabhera Matogoro sasa anafanya kazi kama Mhadhiri Msaidizi katika Chuo cha Elimu ya kompyuta na Elimu ya sibaya katika Chuo Kikuu cha Dodoma, Tanzania. Bw. Matogoro alihitimu shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Sayansi ya Kompyuta, Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka 2011 na kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alihitimu shahada ya Sayansi...

Lorraine Kiswaga
Profiles

Lorraine Kiswaga

Lorraine Kiswaga ana zaidi ya miaka saba ya uzoefu katika afya ya uzazi na haki ya kijinsia, unyanyasaji wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi wa wanawake. Kwa sasa Bi. Kiswaga anaongoza utafiti katika kampuni ya ushauri Tanzania inayoitwa Gender Equality and Women Empowerment Infocus (GEWEI), ambapo huanzisha, kubuni na kuingiza vipengele vya utafiti wa shughuli...

Christine Mwase
Profiles

Christine Mwase

Bi. Christine Mwase ana historia nzuri ya kiufundi.  Ana shahada ya umeme na uhandisi wa umeme kutoka chuo cha Bath na shahada ya uzamili katika mifumo ya mawasiliano na usindikaji wa ishara kutoka chuo kikuu cha Bristol. Kwa sasa anafanya kazi katika chuo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari akiwa na majukumu mawili. Jukumu lake...

Basil Malaki
Profiles

Basil Malaki

Bw. Basil Malaki an uzoefu wa zaidi ya nusu muongo na kuendulea katika mazingira makubwa ya teknolojia ya afrka ya mashariki, uvumbuzi na ujasiriamali. Amefanya kazi katika mipango ya huduma za kijamii kutoa huduma za mawasiliano na usimamizi wa mradi, kuwezesha, kujenga timu, ushauri na msaada wa programu. Bw. Malaki ana shahada ya mawasiliano na...

Ahmada Lyamaiga
Profiles

Ahmada Lyamaiga

Mr. Ahmada Lyamaiga amekuwa mfanyakazi wa kitengo cha teknolojia ya habari tangu mwaka 1973. Alihitimu katika chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka 1978 na shahada ya uzamili ya sayansi ya kompyuta na kuhudhuria kozi mbalimbali za muda mfupi ndani na nje ya nchi, akisomea utaratibu wa kompyuta, mfumo uchambuzi wa kipekee, mitandao ya kompyuta...

Dk. Afua Mohamed
Profiles

Dk. Afua Mohamed

Dk. Afua Mohamed ana shahada ya uzamifu ya teknolojia katika uhandisi wa umeme kutoka Chuo Kikuu cha Cape Peninsula huko Cape Town, Afrika ya Kusini. Alikamilisha na shahada ya uzamili katika uhandisi wa umeme na ufundi, akijikita zaidi katika eneo la mashine za umeme na udhibiti. Dk. Mohamed kwa sasa anafanya kazi katika Tume ya...