Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limewachagua wabunifu 9 ikiwa ni Taasisi 5 na Watu Binafsi 4 kupokea ruzuku chini ya Dirisha la Nne la DLI. Dirisha hilo lililenga zaidi changamoto zilizopo katika jamii zilizotambuliwa na wananchi wa kawaida kupitia mradi dada wa Data Zetu ambao umelenga katika kukuza matumizi...
Category: Funding
22 watetea mapendekezo yao kwenye shindano la ubunifu la #ZeroHungerZeroAIDS
Wabunifu wakitanzania watoa suluhisho la changamoto ya jinsi gani nchi inaweza kufikia lengo la kumaliza njaa na Ukimwi yaani #ZeroHungerZeroAIDS. Zaidi ya waombaji 180 walituma mawazo yao ya jinsi gani ya kutatua masuala yatokanayo na njaa na VVU/UKIMWI kupitia utumiaji wa data.
41 waitwa kutetea mapendekezo yao katika Shindano la Nne la DLI
Kati ya maombi 344 yaliyopokelewa wakati wa dirisha la nne la mashindano, DLIIC ilichagua wahitimu 41 (wanawake 13 na wanaume 28) kufikia hatua ya juu. Wahitimu hawa 41 walitetea mawazo yao mbele ya jopo la majaji wataalam kutoka Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu katika kitengo cha Uwezeshaji wa Vijana Kiuchumi. Tukio hili...
Wabunifu 15 wajishindia ruzuku za Dirisha la Tatu la Shindano la DLIIC
Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limetoa ruzuku kwa washindi 15 (Taasisi zikiwa 5 na Watu Binafsi 10) kupitia Dirisha la Tatu la Shindano la DLI, lililolenga kwenye eneo la Ajira kwa Vijana na Uwezeshaji wa Kiuchumi.
Shindano la Nne la DLI lalenga moja kwa moja kwenye changamoto za kijamii
Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) limezindua rasmi dirisha la nne la shindano. Katika dirisha la nne la shindano la DLIIC litalenga zaidi matatizo yaliyotambuliwa na wananchi wa kawaida kupitia mradi mwingine wa DCLI, wa Data Zetu, ambao unalenga katika uongezaji wa matumizi ya takwimu katika ngazi za chini.
Wafadhili katika Sekta ya Ubunifu waaswa kujitokeza kuwekeza katika miradi endelevu itokanayo na takwimu/data
DLIIC inazindua shindano jipya la ubunifu kwa miradi endelevu ikiwa ni jitihada madhubuti za kuendelea kuwaunga mkono wale waliopokea ruzuku na waliofanikiwa kukamilisha hatua muhimu katika mradi yao, kutengeneza tatuzi zao zilizoanza kufanyakazi, na kupata msaada wakifedha kutoka kwa mshirika wa nje. Tunatafuta washirika wan je na wafadhili ikiwa ni pamoja ma Serikali, wafadhili, sekta...
DLIIC second window winners are set to fight HIV among girls and women in Tanzania
DLIIC awarded grants to nine Tanzanian innovators and one Tanzanian not-for-profit social enterprise, Ubongo Kids. The grants support data-focused solutions that aim to reduce the risks of contracting HIV/AIDS among Adolescent Girls and Young Women (AGYW). These entrepreneurs will receive awards ranging from 10,000 to 25,000 USD (individuals) and 100,000 USD (organization) as well as...
The third DLI Challenge Window has officially opened
The Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) is happy to announce the opening of its third challenge window, which focuses on Youth Empowerment.
DLIIC yapata washindi wa awamu ya pili ya shindano la ubunifu
Wabunifu tisa kutoka Tanzania na taasisi moja isiyo ya kiserikali, Ubongo Kids, wapatiwa ruzuku ili kuwezesha utekelezaji wa ubunifu wao kupitia mpango wa Data for Local Impact Innovation Challenge (DLIIC) inayofadhiliwa na Mpango wa Dharura wa Rais wa Serikali ya Marekani unaojihusisha na masuala ya Ukimwi (PEPFAR) chini ya Ushirikiano wa (DCLI) wanaosimamiwa na taasisi...
Dirisha la Tatu la Shindano la DLI kuangazia masuala ya ukuaji wa uchumi
Baada ya mashindano mawili yaliyofanikiwa, Data for Local Impact (DLI) Innovation Challenge ipo katika mkakati wa kuandaa Shindano la Dirisha la Tatu. DLI ilifanya shindano lake la dirisha la pili mnamo mwezi Mei 2017 baada ya shindano la kwanza mwezi Oktoba 2016. Wakati shindano la likiangazia masuala ya uboreshaji afya na dirisha la pili likilenga...
- 1
- 2